UONGOZI mzima wa dev.kisakuzi.com na wafanyakazi unapenda kuwatakia Waislamu wote ulimwenguni na wadau wengine wa mtandao huu Siku Kuu njema ya Eid. “EID MUBARAK!”
Continue Reading....Month: August 2011
Per Mertesacker kujiunga na Arsenal
MLINZI wa Werder Bremen anayechezea timu ya taifa ya Ujerumani Per Mertesacker anakaribia kufanyiwa uchunguzi wa afya yake katika klabu ya Arsenal. Beki huyo wa…
Continue Reading....Familia ya Gaddafi yakimbilia Algeria
MKE wa Kanali Gaddafi wanawe wa kiume na binti yake Mke na watoto watatu wa kiongozi wa Libya aliye mafichoni Muammar Gaddafi wako nchini Algeria,…
Continue Reading....Makazi duni Tanzania, Kenya na Uganda
LICHA ya baadhi ya ripoti na taarifa za kiuchumi kutoka nchi za Tanzania, Uganda na Kenya kuonesha kuwa uchumi wa nchi hizo umekuwa ukipanda kila…
Continue Reading....Mzee wa miaka 60 ambaka mtoto miaka 4
Na Mwandishi Wetu, Shinyanga JESHI la Polisi Mkoa wa Shinyanga linamtafuta Daudi Giliama ambaye ni mzee wa umri wa miaka 60 kwa tuhuma za kumbaka…
Continue Reading....Timu ya Algeria kutua Dar Usiku
Na Mwandishi wetu TIMU ya Taifa ya Algeria (Desert Warriors) itawasili Septemba Mosi mwaka huu saa 2.50 usiku kwa ndege maalum. Taarifa hiyo imetolewa leo…
Continue Reading....