Ismail Aden Rage Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dk. Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia salamu za rambirambi Mwenyekiti wa Klabu ya Soka ya…
Continue Reading....Month: July 2011
Mgomo wa daladala Arusha wamalizika
Na Janeth Mushi, Arusha HATIMAYE mgomo wa daladala uliodumu kwa siku mbili mfululizo katika jiji la Arusha umeisha jana na huduma hiyo ya usafiri kuanza…
Continue Reading....Breaking News: Mbunge wa Chadema atolewa bungeni
Mbunge Wenje Dodoma, HABARI zilizotufikia muda huu kutoka bungeni mjini Dodoma ni kwamba; Mbunge wa Ilemela kupitia tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),…
Continue Reading....Picha mbalimbali za mazishi ya Danny Mwakiteleko Mbeya
Mkuu wa Wilaya ya Rungwa Jackson Msome alikuwa mmoja wa viongozi waadamizi wa Serikali waliohudhuria ibada ya mazishi. Pichani Mkuu wa Wilaya hiyo akitoa heshima…
Continue Reading....Jalada la Chenge utata mtupu
Mbunge wa Bariadi Magharibi, Andrew Chenge HATIMA ya jalada la uchunguzi dhidi ya Mbunge wa Bariadi Magharibi, Andrew Chenge, bado ni kizungumkuti, baada ya Mkurugenzi…
Continue Reading....Umeme waligawa baraza la mawaziri
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda *WANYOSHEANA VIDOLE KUMTAFUTA MCHAWI KAULI tofauti zinazotolewa na viongozi wa Serikali, akiwamo Rais Jakaya Kikwete na baadhi ya mawaziri kuhusu suala…
Continue Reading....