Askari wa Bunge wakiwasindikiza wabunge wa CHADEMA Tundu Lissu (kulia) , Mchungaji Peter Msigwa (kushoto) na Godbless Lema (wa pili kushoto) kuondoka nje ya viwanja…
Continue Reading....Month: July 2011
Fedha za pembejeo zawatokea ‘puani’ maofisa Chato
Chato, MAOFISA wanne kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Chato mkoani Kagera wamefikishwa mahakamani kwa tuhuma za kutafuna fedha za pembejeo za kilimo zilizotakiwa kupewa wakulima.…
Continue Reading....Breaking News: Ajali mbaya Moshi, 11 wafa 22 wajeruhiwa
Moshi, Taarifa zilizotufikia muda huu ni kwamba; ajali mbaya imetokea mjini Moshi katika barabara ya Kibosho ambapo magari takribani manne yamehusika katika ajali hiyo. Kwa…
Continue Reading....Kamati ya Wanafunzi Ustawi wa Jamii yazungumza na wanahabari Dodoma
JULAI 21, 2011, Taasisi ya Ustawi wa Jamii ilifunga masomo (kufunga Chuo) kutokana na mgogoro baina ya Menejimenti na Wahadhiri. Mgogoro huo ambao Kaimu Mkuu…
Continue Reading....SARA DUMBA ASIFU JUKWAA LA ALIZETI
SARA DUMBA Na William Macha-Iringa MKUU wa Wilaya ya Njombe, Sara Dumba amelimwagia sifa Jukwaa la Alizeti lililozinduliwa mkoani Iringa, kupitia mradi wa Muunganisho Ujasiriamali…
Continue Reading....KIKWETE AAHIDI KUMALIZA KERO YA MAJI NEWALA
RAIS Jakaya Kikwete amesema atalisimamia suala la maji koani Mtwara hadi kuhakikisha shida ya maji inakoma mkoani humo. Rais Kikwete amesema hayo wilayani Newala ambapo…
Continue Reading....