Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • 2011
  • July
  • Page 12

Month: July 2011

TFF yamfungia mwamuzi miaka 5

Posted on: July 24, 2011 - jomushi
TFF yamfungia mwamuzi miaka 5

KAMATI ya Rufani ya TFF iliyokaa Julai 23 mwaka huu imesikiliza rufani iliyokatwa na Mwamuzi wa Daraja la Kwanza, Kamwanga Tambwe. Baada ya kuangalia nyaraka…

Continue Reading....

Ofisa wa Sudan Kusini auwawa

Posted on: July 24, 2011 - jomushi
Ofisa wa Sudan Kusini auwawa

KIONGOZI wa wapiganaji wa Sudan Kusini, ambaye alitia saini mkataba wa amani na Serikali, ameuwawa katika hali ya kutatanisha. Wanachama wa kikundi cha Gatluak Gai…

Continue Reading....

Watu 92 wauwawa mashambulio ya kigaidi Norway

Posted on: July 24, 2011 - jomushi
Watu 92 wauwawa mashambulio ya kigaidi Norway

Majeruhi wakitibiwa barabarani katika mji mkuu wa Norway, Oslo POLISI nchini Norway, imearifu kwamba watu wasiopungua 92 wameuawa kutokana na mashambulio mawili ya kigaidi. Kati…

Continue Reading....

Loveness ndie Vodacom Miss Kanda ya Mashariki 2011

Posted on: July 23, 2011July 23, 2011 - admin
Loveness ndie Vodacom Miss Kanda ya Mashariki 2011

Vodacom Miss Eastern Zone 2011, Loveness Flavian (katikati) akipunga mkono akiwa katika picha ya pamoja na mshindi wa pili, Asha Saleh (kushoto) na Mariaclara Mathayo…

Continue Reading....

Ikulu yamteua mrithi wa Jairo Nishati na Madini

Posted on: July 23, 2011 - jomushi
Ikulu yamteua mrithi wa Jairo Nishati na Madini

KATIBU Mkuu Kiongozi, Phillemon L. Luhanjo amemteua Eliakim Chacha Maswi kuwa Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini. Luhanjo amefanya mabadiliko hayo jana…

Continue Reading....

WAZIRI WA AFYA NA HUDUMA YA WATU WA MAREKANI

Posted on: July 23, 2011 - jomushi
WAZIRI WA AFYA NA HUDUMA YA WATU WA MAREKANI

Rais Jakaya Kikwete (Kushoto) akichukua nafasi muda mfupi kbla ya mazungumzo na wajumbe wa Jukwaa la Wakristo Tanzania (TCF), kwenye ukumbi wa karimjee jijini Dar…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari