Month: June 2011
Hatari, samaki wenye ‘sumu’ Morogoro
Morogoro JESHI la Polisi mkoni hapa limewatahadharisha wakazi wa Manispaa ya Morogoro kutonunua samaki, kwa watu wanaotembeza mitaani kutokana na watu wasiofahamika kumwaga vitu vinavyohisiwa…
Continue Reading....Mkongo wa mawasiliano hauna madhara kiafya-Serikali
Na Lydia Churi-MAELEZO, DODOMA SERIKALI imesema kupitisha mkongo wa taifa wa mawasiliano chini ya nyumba hakuna madhara yoyote kwa afya ya wananchi wanaoishi kwenye nyumba…
Continue Reading....Shibuda aigeuka chadema, aomba posho zibadilishwe jina
Dodoma MBUNGE wa Maswa Magharibi John Shibuda (Chadema) amewaugeuka wabunge wa chama hicho kwa kuitaka Serikali kuongeza posho za wabunge badala ya kuziondoa. Amesema kuwa…
Continue Reading....MADAKTARI, WAUGUZI WATAKIWA KUOKOA MAISHA YA WAGONJWA
Na Aron Msigwa – MAELEZO 28/6/2011, Moroni, COMORO Madaktari na wauguzi wametakiwa kufanya kazi kwa bidii na kujituma ili kuokoa maisha ya wagonjwa wanaowahudumia. Wito…
Continue Reading....