Month: June 2011
Obren Cucovick aanza mazoezi na Azam FC
Na Jaffer Idd MLINDA mlango mpya wa kimataifa wa timu ya Azam FC Obren Cucovick kutoka Serbia ameanza mazoezi na klabu yake mpya ya baada…
Continue Reading....SERIKALI KUANGALIA UPYA GHARAMA ZA BEI YA MAFUTA
Na Veronica Kazimoto – MAELEZO, Dodoma 21/6/2011, SERIKALI inaandaa utaratibu wa kupitia upya mchanganuo wa tozo zilizopo katika nishati ya mafuta kwa lengo la kupunguza…
Continue Reading....Rwanda yajiunga na muhula wa vyuo vikuu Afrika Mashariki
Na James Gashumba, EANA KIGALI, (EANA) -RWANDA imefanya maamuzi ya kuoanisha muhula wake wa vyuo vikuu ili uendane na vyuo vikuu vingine vya nchi za…
Continue Reading....Kikwete receives LID Baton, Tanzania to host Langkawi International Dialogue
Malaysian Prime Minister Najib Abdul Razak hands over a symbolic ball to President Dr. Jakaya Mrisho Kikwete signaling that Tanzania has been honoured to become…
Continue Reading....Mlemavu wa miguu aomba msaada Songea
Songea UONGOZI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tawi la Matarawe Kata ya Matarawe eneo la Asia Kovu unatakiwa kujivua gamba, baada ya kushindwa kuwapa huduma…
Continue Reading....