Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • 2011
  • May
  • Page 7

Month: May 2011

TBC inakujulisha kwamba;

Posted on: May 25, 2011 - jomushi
TBC  inakujulisha kwamba;

Ndugu mdau na mteja wa TBC. Pamoja na kurusha matangazo na vipindi mbalimbali vya makampuni,taasisi na mashirika mbalimbali,Shirika la Utangazaji Tanzania TBC linayo furaha kubwa…

Continue Reading....

Naibu Waziri wa Afya ataka waganga wakamatwe

Posted on: May 25, 2011 - jomushi
Naibu Waziri wa Afya ataka waganga wakamatwe

Na Mwandishi Wetu Morogoro NAIBU Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Lucy Nkya ameiagiza Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro kuwachukulia hatua za kisheria…

Continue Reading....

JK amteua Mkaguzi Mkuu ndani ya Serikali

Posted on: May 24, 2011May 24, 2011 - jomushi
JK amteua Mkaguzi Mkuu ndani ya Serikali

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Kikwete amemteua Bw. Mohammed A. Mtonga (52) kuwa Mkaguzi Mkuu wa ndani wa Serikali. Bw.…

Continue Reading....

Mchujo wa kwanza U23 Tanzania na Nigeria Juni 5

Posted on: May 24, 2011 - jomushi
Mchujo wa kwanza U23 Tanzania na Nigeria Juni 5

Taarifa hii ni kwa mujibu wa Boniface Wambura, Ofisa Habari wa TFF Mechi ya kwanza ya mchujo ya michuano ya Olimpiki kati ya timu ya…

Continue Reading....

Simba wakatiliwa kuwatumia Samata na Ochan

Posted on: May 24, 2011May 24, 2011 - jomushi
Simba wakatiliwa kuwatumia Samata na Ochan

Taarifa hii ni kwa mujibu wa Boniface Wambura, Ofisa Habari wa TFF Wachezaji Mbwana Samata na Patrick Ochan ambao Simba ilitaka kuwatumia kwenye mechi ya…

Continue Reading....

Dk Bilal akagua miradi ya maendeleo Kaskazini Unguja

Posted on: May 24, 2011May 24, 2011 - jomushi
Dk Bilal akagua miradi ya maendeleo Kaskazini Unguja

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohamed Gharib Bilal, akioneshwa sehemu ya madawati yaliyotolewa msaada na wafadhili wa ujenzi wa vyumba…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari