Taarifa inatolewa kwa umma kuhusu orodha ya wagombea waliorudisha fomu na utaratibu wa uchaguzi wa Baraza la Vijana wa CHADEMA (BAVICHA) ngazi ya taifa…
Continue Reading....Month: May 2011
Ziara ya Dk. Shein Mkoa wa Kusini Unguja
Rais wa Zanzibar na Mweyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Uendeshaji wa Wizara ya Kazi, Uwezeshaji Wananchi…
Continue Reading....Dk Shein: Changamoto za wananchi zitapatiwa ufumbuzi
Na Mwandishi Wetu Zanzibar RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesema kuwa miongoni mwa vipaumbele vilivyowekwa na Serikali…
Continue Reading....Tundu Lissu wa Chadema atoka rumande Tarime
Na Mwandishi Wetu Tarime MBUNGE wa Jimbo la Singida Kusini kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na wezake saba jana waliachiwa baada ya kupata dhamana ya masharti…
Continue Reading....Hali si shwari CCM Arusha
Hili ni tamko la baadhi ya wajumbe wa UVCCM Arusha Ndugu zangu waandishi wa habari leo tumeona tuwaite hapa ili tuweze kutoa maoni yetu kuhusiana…
Continue Reading....TGNP WATOA MUONGOZO WA BAJETI 2011/16
MTANDAO wa Jinsia Tanzania (TGNP) kupitia kikundi kazi chake cha uchambuzi wa bajeti (Budget Analysis Task Team) wakishirikiana na wanaharakati wengine kutoka ngazi ya jamii…
Continue Reading....