Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • 2011
  • May
  • Page 2

Month: May 2011

Barcelona 3 Man’Utd 1, Messi ang’ara

Posted on: May 29, 2011May 29, 2011 - jomushi
Barcelona 3 Man’Utd 1, Messi ang’ara

WAKIONGOZWA na mchezaji ambaye ni vigumu kumkaba, Lionel Messi Timu ya Barcelona jana waliifanya vibaya Timu ya Manchester United baada ya kuichapa bao 3-1 katika…

Continue Reading....

Je, wajua Vuvuzela lina madhara makubwa?

Posted on: May 29, 2011May 29, 2011 - jomushi
Je, wajua Vuvuzela lina madhara makubwa?

      VUVUZELA chombo kilichotumika kwa kushangilia hasa na mashabiki wa soka kwenye Kombe la Dunia la soka mwaka 2010, si tu kinachafua mazingira…

Continue Reading....

NATO imeshambulia nyumba ya Gaddafi

Posted on: May 29, 2011 - jomushi
NATO imeshambulia nyumba ya Gaddafi

TAARIFA kutoka katika Jeshi la NATO zinaeleza vikosi vya jeshi hilo vimeangamiza minara ya walinzi katika eneo la nyumba ya Kanali Muammar Gaddafi wa Libya…

Continue Reading....

Simba yachwapwa 3-0 na WYDAD

Posted on: May 29, 2011 - jomushi
Simba yachwapwa 3-0 na WYDAD

TIMU ya Simba ya Msimbazi jijini Dar es Salaam imeshindwa kuwapa raha mashabiki wake baada na Watanzania kwa ujumla baada ya kukubali kipigo cha mabao…

Continue Reading....

Siku Deogratius Temba alipofunga ndoa na Sylivia

Posted on: May 29, 2011 - jomushi
Siku Deogratius Temba alipofunga ndoa na Sylivia

MAI 21, 2011 itabaki kuwa kumbukumbu ya milele kwa mwanahabari Deogratius Temba mkewe Sylvia Rwanyamva baada ya kufunga pingu za maisha. Ndoa hiyo ilifungwa katika Kanisa Katoliki la Chuo…

Continue Reading....

Basi la Sumry laua 13 kwenye ajali Mbeya

Posted on: May 28, 2011May 28, 2011 - jomushi
Basi la Sumry laua 13 kwenye ajali Mbeya

Na Ezekiel Kamanga, Mbeya AJALI mbaya ya basi la kampuni ya Sumry lililokuwa linatoa huduma ya usafiri kutoka Arusha kuelekea mkoani Mbeya iliyotokea eneo la…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari