Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • 2011
  • May
  • Page 11

Month: May 2011

Rais Kikwete ahani msiba wa Shekh Yahya Hussein

Posted on: May 22, 2011 - jomushi
Rais Kikwete ahani msiba wa Shekh Yahya Hussein

Rais Kikwete akipokewa na Hassan Yahya Hussein, Mtoto mkubwa wa Marehemu Sheikh Yahya Hussein alipokwenda kuhani msiba wa mnajimu huyo maarufuf nyumbani kwa Marehemu Magomeni…

Continue Reading....

JK akiwa kwenye msiba wa Hassan Mwinyimvua

Posted on: May 22, 2011 - jomushi
JK akiwa kwenye msiba wa Hassan Mwinyimvua

Rais Kikwete akiwa na ndugu, jamaa na marafiki aliokwenda kuhani msiba wa Mwenyekiti wa Baraza la Wazee wa CCM, marehemu Athumani Hassan Mwinyimvua mtaa wa…

Continue Reading....

TAWLA kusaidia wanawake, watoto kisheria

Posted on: May 22, 2011 - jomushi
TAWLA kusaidia wanawake, watoto kisheria

Na Tiganya Vincent, MAELEZO-Dar es Salam Chama cha Wanasheria Wanawake Tanzania (TAWLA) kimeahidi kuendelea kutoa msaada wa kisheria kwa wanawake na watoto wengi wanaokandamizwa pindi…

Continue Reading....

Mawakala Morogoro kuishtaki Serikali

Posted on: May 22, 2011 - jomushi
Mawakala Morogoro kuishtaki Serikali

Na Mwandishi Wetu Morogoro MAWAKALA wa pembejeo wanakusudia kuiburuza mahakamani Serikali mkoani Morogoro kwa kile kushindwa kulipa deni la zaidi ya sh. bilioni 3, gharama…

Continue Reading....

Warusi waonesha nia kuwekeza Tanzania

Posted on: May 20, 2011 - jomushi
Warusi waonesha nia kuwekeza Tanzania

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara Dkt Shaaban Mwinjaka amewataka wawekezaji wenye nia njema kuja nchini na kushirikiana na wazalendo katika kutumia…

Continue Reading....

Waziri wa Nchi azungumza na Balozi wa Iran

Posted on: May 20, 2011May 22, 2011 - jomushi
Waziri wa Nchi azungumza na Balozi wa Iran

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Dk. Terezya Huvisa akizungumza na Balozi wa Iran Nchini Tanzania, Mohsin Movahhed kuhusu Masuala ya Kuanzisha…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari