CCM has picked retired longserving civil servant and party cadre Wilson Mukama as its new Secretary General, replacing Mr Yussuf Makamba who resigned alongside other…
Continue Reading....Month: April 2011
Wilson Mukama awa Katibu Mkuu CCM
HATIMAYE kitendawili cha mageuzi mkubwa ya CCM kupata viongopzi wapya wa Kamati Kuu (CC) ya Chama hicho kimeteguliwa na sasa atakayeshika nafasi ya Katibu Mkuu…
Continue Reading....Chadema wachoma moto muswada wa marekebisho ya Katiba
Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Zanzibar, Hamad Mussa Yussuf , akichoma moto mswada wa sheria ya kuanzisha Tume ya kurekebisha Katiba Tanzania leo wakati wa…
Continue Reading....Hatimaye Laurent Gbagbo akamatwa
Laurent Gbagbo akiwa chini ya ulinzi wa majeshi ya Umoja wa Mataifa baada ya kukamatwa kwenye hoteli moja ambamo alikuwa amejificha mjini Abidjan. Taarifa zaidi…
Continue Reading....YANGA BINGWA TANZANIA, SIMBA MAMBO MABAYA
BAADA ya timu ya Yanga ya Dar es Salaam kutangazwa Mabingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, hali imekuwa mbaya kwa wapinzani wao wa…
Continue Reading....Jiwe lauwa mchimba madini Bulyanhulu
Na Mwandishi Wetu Kahama MFANYAKAZI mmoja katika mgodi wa dhahabu wa Bulyanhulu wilayani Kahama Mkoa wa Shinyanga amefariki dunia baada ya kuangukiwa na jiwe wakati…
Continue Reading....