Na Mwandishi Wetu Karagwe WANANCHI mkoani Kagera wanaituhumu Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kuwa inajihusisha na vitendo vya kuwalinda wezi…
Continue Reading....Month: April 2011
Dewji amwaga mahindi tani 100 kwa wapigakura wake
Na Mwandishi Wetu Singida MBUNGE wa Jimbo la Singida Mjini kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mohammed Dewji, ametoa msaada wa tani 100 za…
Continue Reading....DC Serengeti akemea matapeli wa safari za Loliondo
Na Mwandishi Wetu Serengeti SERIKALI wilayani Serengeti mkoani Mara, imekilalamikia kitendo cha baadhi ya wafanyabiashara kuendelea kutumia malori kusafirisha wagonjwa kwenda Loliondo kupata tiba kwa…
Continue Reading....Diwani Chadema amshtaki Mkurugenzi wa Halmashauri
Na Mwandishi Wetu Sumbawanga DIWANI wa Kata ya Makanyagio wa Chama cha Demikrasia na Maendeleo (CHADEMA), wilayani Mpanda, Iddy Nziguye amemfikisha mahakamani Mkurugenzi wa Halmashauri…
Continue Reading....Kilimo Kwanza bado akijamnufaisha mkulima
Na Mwandishi Wetu Morogoro DHANA ya Kilimo Kwanza imeshindwa kuwanufaisha wazalishaji wadogo wadogo wanaoishi vijijini kutokana na rasilimali zinazotakiwa kuelekezwa katika maeneo hayo kushindwa kutolewa…
Continue Reading....JAMBO LEO YAIVUA GAMBA UHURU
TIMU ya soka ya Jambo Leo ‘Wagumu Star’ jana imeibanjua timu ya soka ya Uhuru inayomilikiwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) ‘wazee wa kujivua gamba’…
Continue Reading....