Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • 2011
  • April
  • Page 4

Month: April 2011

JAMBO LEO MABINGWA NSSF CUP

Posted on: April 17, 2011 - jomushi
JAMBO LEO MABINGWA NSSF CUP

TIMU ya soka ya Jambo Leo ‘Wagumu Star’ inayomilikiwa na kampuni ya Jambo Concepts Ltd, imetwaa Ubingwa wa Kombe la Shirika la Taifa la Hifadhi…

Continue Reading....

Babu wa Loliondo awashukia wanaomuiga

Posted on: April 17, 2011 - jomushi
Babu wa Loliondo awashukia wanaomuiga

Ngorongoro MCHUNGAJI mstaafu Ambilikile Mwasapila (Babu) amesema baadhi ya watu wanaodai kutibu kwa kutumia tiba ya kikombe kama anavyofanya yeye ni wauaji, wezi na wanasumbuliwa…

Continue Reading....

Bunda wata ushuru wa magari ya Loliondo

Posted on: April 17, 2011 - jomushi
Bunda wata ushuru wa magari ya Loliondo

Bunda HALMASHAURI ya Wilaya ya Bunda, inatarajia kufanya mazungumzo na uongozi wa wilaya hiyo, ili iruhusiwe kukusanya ushuru kwenye magari yanayofika katika kituo cha Bunda,…

Continue Reading....

Akamatwa akimiliki duma kinyume cha sheria

Posted on: April 17, 2011 - jomushi
Akamatwa akimiliki duma kinyume cha sheria

Na Mwandishi Wetu Arusha KIKOSI cha Kupambana na Ujangili Kanda ya Kaskazini kinamshikilia Rahman Hassan kwa tuhuma za kupatikana na wanyama aina ya duma (Cheater),…

Continue Reading....

Butiku: Serikali iwe sikivu mjadala Katiba mpya

Posted on: April 17, 2011 - jomushi
Butiku: Serikali iwe sikivu mjadala Katiba mpya

MKURUGENZI wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Joseph Butiku ameitaka Serikali kuwa sikivu na kusikiliza wananchi wanataka nini juu ya mchakato wa katiba mpya na si…

Continue Reading....

Basi la Ngorika laua tisa na kujeruhi 16

Posted on: April 15, 2011April 16, 2011 - jomushi
Basi la Ngorika laua tisa na kujeruhi 16

Na Mwandishi Wetu Arusha WATU 9 wamefariki dunia na wengine nane kujeruhiwa huku wanne kati yao wakiwa na hali mbaya, baada ya magari waliyokuwa wakisafiria…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari