Na Beatrice Mlyansi na Joseph Ishengoma, Maelezo-Zanzibar RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya Kikwete amewaongoza watanzania kwenye maadhimisho ya miaka 47 ya Muungano…
Continue Reading....Month: April 2011
Ajali nyingine yaua wanane Rukwa
Na Mwandishi Wetu Sumbawanga WATU wanane wamefariki dunia na wengine sita kujeruhiwa vibaya baada ya gari walilokuwa wakisafiria kwenda kusherehekea Sikukuu ya Pasaka kuacha njia…
Continue Reading....Mbunge atoa ushuhuda wa Loliondo kikaoni
Na Mwandishi Wetu Kilindi MBUNGE wa Jimbo la Kilindi, Beatrice Shelukindo, amesema kuponya kwa tiba ya kikombe cha dawa inayotolewa na Mchungaji mstaafu, Ambilikile Mwasapila…
Continue Reading....Babu Loliondo ashindwa ‘waponya’ wenye VVU
Na Mwandishi Wetu Kahama WANANCHI wanaosumbuliwa na magonjwa mbalimbali ikiwemo Ukimwi wameshauriwa kuendelea kutumia dawa wanazopewa na wataalamu hospitalini hata kama wamefanikiwa kunywa kikombe cha…
Continue Reading....CWT Kilimanjaro wamlaani RC
Na Mwandishi Wetu Moshi CHAMA cha Walimu (CWT) mkoani Kilimanjaro wamelaani vikali kitendo kilichofanywa na Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Said Kalembo cha kuiamuru…
Continue Reading....Slaa awalipua Malecela, Mangula, Magufuli
KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willbrod Slaa amekoleza moto wa vita ya ufisadi kwa kuibua tuhuma mpya dhidi ya makada…
Continue Reading....