Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • 2011
  • March
  • Page 9

Month: March 2011

Kesi ya mwandishi ‘kuomba rushwa’ yaairishwa

Posted on: March 7, 2011 - jomushi
Kesi ya mwandishi ‘kuomba rushwa’ yaairishwa

Na Mwandishi Wetu KESI inayomkabili mwandishi wa habari ambaye ni mtangazaji wa Shirika la Utangazaji nchini (TBC1),Jerry Muro na wenzake imeshindwa kuendelea leo kutokana na…

Continue Reading....

Dk. Shein: Serikali yangu itafanya mapinduzi ya kilimo

Posted on: March 7, 2011 - jomushi
Dk. Shein: Serikali yangu itafanya mapinduzi ya kilimo

Mwandishi Wetu Pemba RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein amesema Serikali ya Awamu ya Saba imepanga kufanya Mapinduzi…

Continue Reading....

Dk Shein aanza ziara kuwashukuru Wazanzibari kumchagua

Posted on: March 6, 2011 - jomushi
Dk Shein aanza ziara kuwashukuru Wazanzibari kumchagua

RAIS wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein ameanza kufanya ziara katika baadhi ya maeneo ya Zanzibar akiwashukuru wananchi kwa kumchagua katika…

Continue Reading....

Serikali kupima utendaji wa ma-DC

Posted on: March 5, 2011April 22, 2014 - jomushi
Serikali kupima utendaji wa ma-DC

*Warugenzi nao dawa jikoni WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Mizengo Pinda amesema Serikali inaandaa vigezo vipya vya kupima utendaji wa Wakuu wa Wilaya ili kuachana na…

Continue Reading....

Dk Bilal ataka mgogoro umalizike bandarini Dar

Posted on: March 5, 2011April 22, 2014 - jomushi
Dk Bilal ataka mgogoro umalizike bandarini Dar

Na Mwandishi Maalumu Ofisi ya Makamu wa Rais Makamu wa Rais Dk. Mohammed Gharib Bilal ameutaka uongozi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kufanya mazungumzo…

Continue Reading....

Mvua zaathiri makazi ya muda ya waathirika Gongo la Mboto

Posted on: March 5, 2011 - jomushi
Mvua zaathiri makazi ya muda ya waathirika Gongo la Mboto

HALI ni mbaya kwa familia zilizoathirika na milipuko ya mabomu kwenye kambi ya Jeshi la Wananchi nchini (JWTZ), kikosi cha 511 Gongo la Mboto Dar…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari