Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • 2011
  • March
  • Page 8

Month: March 2011

Vigogo wasababisha vurugu Loliondo

Posted on: March 9, 2011March 11, 2011 - jomushi
Vigogo wasababisha vurugu Loliondo

08 March 2011 Arusha WATU wanaodaiwa kuwa ni vigogo wa Serikali wamesababisha vurugu kubwa katika Kijiji cha Samunge, Tarafa ya Sale, Loliondo kunakotolewa tiba ya…

Continue Reading....

Tanesco wadaiwa tena mamilioni Kenya

Posted on: March 8, 2011March 8, 2011 - jomushi
Tanesco wadaiwa tena mamilioni Kenya

Na Mwandishi Wetu Namanga  LICHA ya Shirika la Ugavi wa Umeme Tanzania (TANESCO) kutakiwa kulipa deni la sh. bilioni 94 kwa kampuni ya Dowans ambazo…

Continue Reading....

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk Ali Mohamed Shein otembelea mashamba ya kilimo

Posted on: March 8, 2011March 8, 2011 - jomushi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk Ali Mohamed Shein otembelea mashamba ya kilimo

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk Ali Mohamed Shein, akipewa maelezo kutoka kwa Ofisa Mdhamini Pemba wa Wizara ya Kilimo na Mifugo,…

Continue Reading....

MH. KOMBA AMETUMWA BUNGENI AKALALE?

Posted on: March 8, 2011March 8, 2011 - Rungwe Jr.
MH. KOMBA AMETUMWA BUNGENI AKALALE?

Kwa mpango huu ndugu zangu tutafika? Baadhi ya waheshimiwa wetu wamekuwa ni watu wa kuhudhuria vikao tu, na mara nyingi huwa wanalala wakati vikao vya…

Continue Reading....

Mwananchi alipukiwa na bomu Lindi

Posted on: March 7, 2011 - jomushi
Mwananchi alipukiwa na bomu Lindi

Na Mwandishi Wetu Lindi MKAZI mmoja wa kijiji cha Kitumbikwera mkoani Lindi, Omari Said (29) amelazwa katika Hospitali ya Mkoa ya Sokoine akiuguza majeraha aliyoyapata…

Continue Reading....

Wanne wapandishwa kizimbani kwa dawa za kulevya

Posted on: March 7, 2011 - jomushi
Wanne wapandishwa kizimbani kwa dawa za kulevya

Na Mwandishi Wetu RAIA wanne wa mataifa tofauti, jana wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kwa kosa la kula njama na kuingiza dawa…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari