Na Joachim Mushi Bukoba MKUU wa Mkoa wa Bukoba, Mohamed Babu ameliomba Shirika la Hifadhi ya Jamii la Taifa (NSSF) kuwekeza zaidi katika mkoa huo…
Continue Reading....Month: March 2011
Loliondo ni kivumbi
*Wabunge washindana kupeleka wapigakura kwa mabasi *Mratibu Ukimwi Mkoa asalimisha wafanyakazi kwa Babu *Sheikh ataka Waislam wakapate kikombe kwa Mchungaji *KKKT wafungua akaunti kwa ya…
Continue Reading....Mbunge atoa milioni 6.5/- kwa waathirika
MBUNGE wa Igunga, Rostam Aziz ametoa pole ya Sh milioni 6.5 kwa wananchi walioathiriwa na mvua kubwa wilayani hapa WAATHIRIKA wa mwishoni mwa wiki iliyopita.…
Continue Reading....Familia ya Gaddafi yapigwa marufuku Urusi
MOSCOW, Urusi RAIS wa Urusi Dmitry Medvedev juzi alisaini amri ya kumpiga marufuku kiongozi wa Libya Muammar Gaddafi kuingia au kusafiri kupitia eneo la Urusi.…
Continue Reading....Daktari: Mgonjwa Loliondo amepona Ukimwi
DAKTARI Joachiam Mbosha wa Hospitali Teule ya Wilaya ya Ngorongoro ya Wasso, amethibitisha kuwa mmoja wa wagonjwa wa Ukimwi aliyekwenda kutibiwa kwa Mchungaji Ambilikile Mwasapile,…
Continue Reading....WATANZANIA TUTATOKA VIPI NDANI YA CHUPA?
Karibuni sana ndugu zangu katika ukurasa huu wa Uchambuzi Nyeti! Kama tujuavyo “Msema Pweke Hakosi”, labda tu kwa faida ya wasomaji wetu, ni wakati muafaka…
Continue Reading....