Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • 2011
  • February
  • Page 2

Month: February 2011

BOMU LA CHADEMA KWA PINDA HADHARANI.

Posted on: February 18, 2011April 16, 2014 - Rungwe Jr.
BOMU LA CHADEMA KWA PINDA HADHARANI.

SAKATA la vurugu na mauaji yaliyotokana na maandamano ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), mkoani Arusha linaelekea kumuelemea Waziri Mkuu Mizengo Pinda. Hiyo inatokana…

Continue Reading....

Mambo yalivyo sasa ndani ya Uwanja waUhuru jijini Dar (Picha)

Posted on: February 17, 2011 - admin
Mambo yalivyo sasa ndani ya Uwanja waUhuru jijini Dar (Picha)

Hivi ndivyo mambo yalivyo ndani ya uwanja wa Uhuru Jijini Dar, Watu Msalaba Mwekundu  na Kamanda wa scout wakishusha Maji ya Kunywa na misaada mingine kwa…

Continue Reading....

MABOMU GONGO LA MBOTO: WATU 200 WAJERUHIWA,20 WAPOTEZA MAISHA

Posted on: February 17, 2011February 17, 2011 - admin
MABOMU GONGO LA MBOTO: WATU 200 WAJERUHIWA,20 WAPOTEZA MAISHA

Katika hali isiyo ya kawaida usiku wa tarehe 16 mida ya saa mbili na dakika ishirini ulianza kusika milio ya mabomu kutoka katika gara la…

Continue Reading....

RAIS KIKWETE AKAGUA SOKO LA KIMATAIFA LA MAZAO KIBAIGWA, DODOMA LEO

Posted on: February 17, 2011 - admin
RAIS KIKWETE AKAGUA SOKO LA KIMATAIFA LA MAZAO KIBAIGWA, DODOMA LEO

Rais Jakaya Kikwete akikagua mahindi yanayouzwa katika soko la kimataifa la mazao la Kibaigwa wilayani Kongwa, mkoa wa Dodoma leo asubuhi wakati aliposimama kwa muda…

Continue Reading....

Michelle Obama Awapiga Marufuku Binti Zake Kutumia Facebook

Posted on: February 13, 2011 - admin
Michelle Obama Awapiga Marufuku Binti Zake Kutumia Facebook

Pamoja na kwamba mke wa rais wa Marekani, Michelle Obama amekuwa akisema kuwa anataka watoto wake waishi maisha ya kawaida kama watoto wengine, amewapiga marufuku…

Continue Reading....

SPIKA WA BUNGE AMPA SIKU TANO MBUNGE WA ARUSHA MJINI, KUTOA UTHIBITISHO WA KAULI YAKE

Posted on: February 13, 2011 - admin
SPIKA WA BUNGE AMPA SIKU TANO MBUNGE WA ARUSHA MJINI, KUTOA UTHIBITISHO WA KAULI YAKE

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Mungano Mheshimiwa Anne Makinda amempa muda wa siku tano Mbunge wa Jimbo la Arusha mjini Mhe. Godbless Lema kutoa…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari